Mzazi wa Fid Q afariki

 MTANDAO: MWANAMUZIKI wa Hiphop nchini Fareed Kubanda ‘Fid Q’ amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Kubanda.

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram, @therelfidq ameandika “Ninasikitika kuwataarifu ya kwamba.. mzee wangu, baba yangu, Mzee Kubanda ametangulia mbele ya haki,”

Fid Q ameeleza kuwa mazishi ya babaye yatafanyika kesho kijijini kwake Nasa mkoani Mwanza.“Inna lillah wainna ilaih raajiuun 🙏🏾 (Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na hakika kwake tutarejea).” Ameandika Msanii huyo.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments