VIDEO: Ugawaji wa Vifaa Ligi ya Wanawake Singida, Makundi yapangwa

 
Ugawaji wa vifaa kwajili ya  maandalizi ya ligi soka wanawake mkoa wa Singida kwa timu shiriki msimu wa 2023-2024 katika ofisi za chama cha mpira wa miguu mkoa wa Singida leo saa kumi jioni
C

 Katika Ugawaji wa vifaa hivyo Mgeni rasmi ni Meya wa Singida Manispaa na mwenyekiti wa soka la Wanawake mkoa wa Singida .Bi Yagi Kiaratu.

Na Baada ya kugawa vifaa leo, Na kuchezesha droo kwajaili ya upangaji wa ratiba ya ligi ya mkoa kwa soka la wanawake mkoa wa Singida

TAZAMA MAKUNDI LIGI YA WANAWAKE SINGIDA

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments