#VIDEO: Huwezi Kufikiri ila sina hofu Jinsi gani itakuwa - Pep Guardiola

“Huwezi Kufikiri, ila sina hofu jinsi gani itakuwa ila tunahitaji kukaa juu ya Msimamo wa Ligi”- Pep Guardiola  

Kuelekea Katika Mchezo wa baadae dhidi ya wenyeji wao Newcastle United wanaoshika nafasi ya tisa(9) katika Msimamo wakiwa na alama 29, wakati Man City ikishika nafasi ya tatu(3) wakiwa na alama 40.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments