#VIDEO: Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi Paul Makonda amewasili Wilayani Iramba ampa Lift ya Trekta Mwigulu

Katibu wa NEC, itikadi,siasa na mafunzo wa chama cha mapinduzi Paul Makonda amewasili wilaya ya Iramba Singida kwa ajili ya kuzungumza na wananchi na Kusikiliza Kero zao.

TAZAMA NA HII - #VIDEO: Wakurugenzi Msiwatumie Maafisa Kilimo Kukusanya Ushuru wa Halmashauri - PAUL MAKONDA

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments