EPL kuendelea hapo kwa
michezo miwili hapo kesho ambapo mchezo wa mapema utakuwa Arsenal dhidi ya
Crystal Palace majira ya saa 9:30 mchana huku nafasi ya kushinda mchezo huo
akipewa The Gunners kwa ODDS 1.25 kwa 10.78. Mara ya mwisho kukutana, Arteta na
vijana wake walishinda. Je mgeni kulipa kisasi kesho?. Beti sasa
Huku mechi ya pili
hapo kesho ni hapo itakapofika majira ya saa 2:30 kati ya Brentford dhidi ya
Nottingham Forest, huku timu hizo zikitofautiana pointi moja pekee. Nyuki
kushinda mechi hiyo wamepewa ODDS 1.89 kwa 3.87, pia Ivan Toney anatarajiwa
kurejea kwenye mchezo wa kesho baada ya adhabu yake ya kufungiwa miezi 8
kuisha. Nani kuondoka na ushindi?. Jisajili na ubeti hapa.
Ni rahisi sana kwako
kutengeneza pesa ya haraka kama utacheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo
ipo meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine mingi.
Ingia meridianbet na uanze kucheza sasa.
Vilevile LALIGA nayo
inataka kukupatia pesa kwa mechi zake zitakazopigwa wikendi hii Rayo Vallecano
dhidi ya UD Las Palmas ni mechi ya kibabe sana ambayo imepewa ODDS 1.88 kwa
4.31. Ikumbukwe kuwa mwenyeji alipoteza mchezo uliopita huku mgeni akishinda.
Suka mkeka wako hapa.
Saa 12:15 jioni
Nyambizi wa Njano, Villarreal watawakaribisha Mallorca huku timu hizi zikiwa na
pointi sawa 19 baada ya kucheza michezo yao 20 hadi sasa. Mwenyeji amepoteza
mchezo uliopita, na mgeni alitoa sare, huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya
kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.06 kwa 3.52. Ingia meridianbet na ubeti.
Nao Valencia watakuwa
wakipepetana na Athletic Bilbao ambaye amekuwa na mwennendo mzuri kwenye ligi
kwani anashikilia nafasi ya 3 kwenye msimamo hadi sasa na mwenyeji wake yupo
nafasi ya 8. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana walitoka sare. Je nani kushinda
kesho?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.
Tukiangazia ligi ya
SERIE A, AS Roma atakipiga dhidi ya Hellas Verona ambaye yupo kwenye hali mbaya
kwenye msimamo wa ligi. Lakini timu hiyo ya Rome wanatarajia kuingia uwanjani
baada ya kumtimua kocha wao Jose Mourinho. Verona kushinda mechi hii amepewa
ODDS 7.64 kwa 1.44. Beti sasa.
Italia kutahitimishwa
na mechi kati ya wenyeji Udinese dhidi ya AC Milan ambao walitoka kutoa kichapo
mchezo wao uliopita. Milan chini ya Stephano Pioli kushinda mechi hii wamepewa
ODDS 1.94 kwa 3.92. Je nani ni nani hapo kesho?.
Vilevile ligi ya
BUNDESLIGA itarindima kwa namna yake timu kuchuana vikali, tukianza na mechi
kati ya FC Cologne dhidi ya Borussia Dortmund ambaye alishinda mechi iliyopita.
Mara ya mwisho kukutana Borussia aliondoka na ushindi mwembamba. 1.67 ndio ODDS
waliyopewa vijana wa Edin Terzic kwa 4.50. Wewe beti yako unaiweka wapi?
Mechi nyingine ya kuvutia ni hapa inayowakutanisha Bochum dhidi ya VFB Stuttgart ambao msimu huu wanafanya vizuri wakiwa nafasi ya 3 hadi sasa huku mwenyeji wake yeye yupo nafasi ya 14. Kushinda mechi hii VFB wamepewa ODDS 1.91 kwa 3.62. Je mwenyeji atalipa kisasi baada ya mechi ya kwanza kubamizwa?. Tengeneza jamvi mapema hapa.
Pia SC Freiburg
atamualika TSG Hoffenheim na timu hizo tofauti kati yao ni pointi 1 pekee,
kwani wamefuata kwenye msimamo wa ligi hiyo mwenyeji akipewa ODDS 2.01 kwa
3.33. Beti sasa.
Saa 2:30 katika dimbva la Red Bull Arena kutakuwa na mechi ya moto, yani mechi ya viwango haswa ambapo RB Leipzig atamleta nyumbani kwake kinara wa ligi hiyo Bayer Leverkusen. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii RB kwa ODDS 2.40 kwa 2.65. Je vijana wa Alonso watakubali kupoteza mchezo huo kesho?. Na je vipi Leizpig watakuwabli kipigo cha pili kutoka kwa Leverkusen?. Bahiri na meridianbet upige maokoto.
0 Comments