HAYAWI hayawi sasa yamekuwa na hatimaye ile siku imefika ambapo Fainlai za Kombe la AFCON kupigwa hii leo majira ya saa 5:00 usiku kati za Nigeria dhidi za Ivory Coast ambao ndio wenyeji wa michuano hii.
Watu wengie wameshaanza kuchagua upande wa kushangilia hii leo kati za The Super Eagles na The Elephants lakini meridianbet wao wameona kombe hili linaenda kwa Nigeria ambao wamepewa ODDS 2.79 kwa 2.84 kushinda mechi hii.
Nigeria ambao wapo chini ya kocha mkuu Jose Peseiro wameshinda Kombe hili mara tatu ambalo walilichukua mwaka 1980, 1994 na mwaka 2013, huku Ivory Coast chini ya kocha mkuu kwasasa Emerse Fae wao wakichukua kombe hili mara mbili pekee Mwaka 1992, na 2015.
Ndugu mteja ukiendelea kuchanganua nani wa kumpa ushindi kwenye Fainali meridinabet wanakwambai cheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, S na mingine https://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt kibao sasa. Ingia na ucheze.
Na sasa ndugu mteja wa Meridianbet tunaenda kuangalia ni kwa namna gani timu hizi mbili Nigeria au kwa jina jingine THE SUPER EAGLES na Ivory Coast kwa jina lingine THE ELEPHANTS walivyofika kwenye hatua hiyo ya Fainali ya AFCON msimu huu kuanzia hatua ya makundi.
HATUA YA MAKUNDI
Kwanza kabisa timu hizi zilikuwa kwenye kundi 1 kwenye michuano hii ya AFCON ambalo lilikuwa ni Kundi A, ambalo lilikuwa na timu nne ikiwemo Guinea Bissau, Equatorial Guinea,https://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt pamoja na Nigeria wenyewe.
Kwenye kundi hilo Nigeria alishika nafasi ya pili baada ya kupata pointi 7 akishinda mechi 2 na kutoa sare 1, huku The Elephants wao wakishinda mechi 1 na kupoteza mechi mbili na kupita kwenye 16 bora kama “BEST LOOSER”
Lakini walivyokutana wao kwa wao Nigeria alishinda mechi hiyo dakika ya 55 baada ya kupata mkwaju wa penati ambao ulifungwa na captain wao Troost-Ekong na kuiptaia timu yao alama 3.
HATUA YA 16 BORA
Ndani ya 16 bora sasa mambo yalikuwa ni moto zaidi ambapo kila timu ilihitaji kushind ambapo Nigeria yeye alipangwa kukipiga dhidi ya Cameroon ambao nao walikuwa ni moja ya timu walipigiwa upatu wa kushinda taji hili lenye thamani kubwahttps://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt
Lakini The Super Eagles walionyesha ukubwa wao kwa kumchapa Camroon kwa mabao 2-0 dakika 90 za mchezo huku mabao hayo yakifungwa na Ademola Lookman mchezaji ambaye anakipiga kule Atalanta ya Italia.
Wakati kwa upande wa Ivory Coast mwenyeji wa michuano hii hatua hiyo alipangwa na na bingwa mtetezi wa michuano hii https://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt ya Sadio Mane ambapo takribani watu wengie walimpa nafasi kubwa Msegali kuondoka na ushindi. Lakini mechi ikawa tofauti na matarajio ya watu baada ya kuishna 0-0 dakika 90 za mchezo na hatimyae kwenda matuta.
The Elephants hatimaye walitinga hatua ya Robo Fainali baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati 5-4 na kushangaza walio wengi na kusema kweli mpira ni dakika 90 na filimbi ya mwisho ndiyo itaamua nani ni nani.
HATUA YA ROBO FAINALI
Kwenye hatua hii mechi zilikuwa kali sana kutokana na timu ambazo zilikuwa zimetinga kwenye hatua hii ya Robo Fainali kwani Nigeria yeye safari hii alikutana na Angola ambaye alimchapa bao 1-0 ndnai ya dakika 90 za mchezo.
Ivory Coast yeye alikipiga dhidi ya https://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt ambao walionekana kuwa wabishi sana kutokana na kikosi ambacho walikuwa nacho. Lakini vijana wa Fae walikuwa wabishi baada ya kushinda kwenye muda wa ziada kwa 2-1 licha ya kuwa na kadi nyekundu 1.
HATUA YA NUSU FAINALI
Nigeria katika hatua za Nusu Fainali alishinda kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kwenda dakika 90 kwa bao 1-1 dhidi ya South Africa pongezi zikienda kwa Golikipa wao Nwabi ambaye aliokoa penati tatu. Huku Ivory Coast wao wameingia Fainali baada ya kuichapa https://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt https://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt kwa bao 1-0 dakika 90 za mchezo bao ambalo lilifungwa na Sebastian Haller.
Baada za kushuhudia hatua hizo sasa leo hii ndio Fainali yenyewe ambayo inatarajiwa kutazamwa Duniani kote huku kila timu ikihitaji kushinda taji hilo lenye thamani za zaidi za Bilioni 7. Mechi hii itapigwa saa 5:00 usiku katika dimba la Alassane Quattara.
Timu zote mbili zina wachezaji wazuri kitu ambacho kinafanya inakuwa ngumu kusema moja kwa moja kuwa taji hili inabeba timu fulani. Ukiangalia kwa jinsi ambavyo wamecheza mechi zao zilizopita unaona kabisa kila timu ina njaa za kuchukua kombe hili. Je nani ni nani leo?
Hawa ndio wachezaji Nigeria ambao wanapaswa kuchungwa zaidi Victor Osimhen, Ademola Lookman, Simon, Iwobi na wengine wengi. Huku kwa upande wa Ivory Coast wachezaji wa kuchungwa ni pamoja na , Sebastian Haller, Sangare na wengine wengi. Je unadhani nani ataibuka kidedea wa kuchukua Kombe hili la AFCON? Osimhen ataibeba Nigeria mabegani? Mechi hii ina ODDS 2.69 kwa 2.79. Suka mkeka wako sasa na meridianbet.
https://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt
0 Comments