Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda amewaongoza Watanzania katika ibada ya kumuaga Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa iliyofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash wilayani Monduli leo Februari 16, 2024
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akitoa salamu za pole kwa familia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa wakati wa ibada ya kumuaga kiongozi huyo iliyofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash, wilayani Monduli leo Februari 16, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu atawaongoza Watanzania katika mazishi ya kiongozi huyo yatakayofanyika kesho Februari 17, 2024 nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda amewaongoza Watanzania katika ibada ya kumuaga Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa iliyofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash wilayani Monduli leo Februari 16, 2024.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI
Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516
0 Comments