Mwenyekiti CCM Tabora Afariki Dunia

 

TABORA: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Hassan Wakasuvi amefariki dunia leo mkoani Tabora.
Chama cha Mapinduzi CCM kikiongozwa na Mwenyekiti wake Rais, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia pamoja na ndugu jamaa na marafiki wa marehemu.
Aidha taarifa iliyotolewa na CCM imeeleza kuwa Chama hicho kinamtambua Wakasuvi kama mtu mtii, mzalendo na muaminifu kwa Chama chake na Taifa kwa ujumla.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments