RAIS SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA HAYATI DKT. HAGE GEINGOB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage G. Geingob. Rais Samia alisaini Kitabu hicho  katika Ofisi za  Ubalozi huo Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage G. Geingob Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Namibia mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Ubalozi huo Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments