Onana arejesha furaha Simba

TANGA: Simba wameondoka na alama zote tatu kwa kuitandika Coastal Union 2-1 mchezo uliomazika muda mchache uliopita Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.

Ushindi huo umemfanya Mnyama Simba kufikisha alama 39 baada ya michezo 17 akiwa katika nafasi ya tatu kwenye msimamo.

Mabao ya Simba katika mchezo huo yamewekwa kimyani na Freddy Michael ’11’ na Willy Onana ’83’ huku goli la kufutia machozi kwa Wagosi wa Kaya Coastal Union likifungwa na Lucas Kikoti ’24’

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments