SIMBA imepangwa kukutana na Al-Ahly ya Misri wakati Yanga ikiangukia mikononi mwa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika michezo yao ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Timu zitaanzia nyumbani, mechi zitachezwa kati ya Machi 29-31 na kurudiana kati ya Aprili 5-7, 2024.
ROBO FAINALI
Simba SC vs Al Ahly
TP Mazembe vs Petro Atletico
Esperance vs ASEC Mimosas
Yanga SC vs Mamelodi Sundowns
NUSU FAINALI
Esperance/ASEC vs Yanga/Mamelodi
TP Mazembe/Petro Atletico vs Simba/Al Ahly
0 Comments