Katibu Mkuu wa (CCM) Dk. Emmanuel Nchimbi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.

                           

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza wakati wa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere, lililofanyika Jumatatu Aprili 8, 2024 katika Ukumbi wa Utamaduni wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni, Dar Es Salaam, ambalo lilijumuisha watu mbalimbali, ambapo kabla ya hapo, alitembelea mabanda na kujionea maonesho ya ubunifu katika masuala mbalimbali unaofanywa na wanafunzi wa chuo hicho.

Picha Mbali Mbali Za Matukio katika kongamano hilo








Picha Na CCM Makao Makuu




TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments