SIMBA WANARUDI LAKE TANGANYIKA WAKIWA NA KUMBUKUMBU YA USHINDI WA GOLI 1

Mashabiki wa kandanda mkoani Kigoma leo watashuhudia mchezo wa hatua ya 16 bora wa Kombe la shirikisho la CRDB kati ya wenyeji wa mkoa huo Mashujaa vs Simba utakaopigwa Uwanja wa Lake Tanganyika leo jioni.

Simba wanaingia katika mchezo huo saa 10 jioni wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa bao 1-0 waliopata katika mchezo wa mwisho waliocheza uwanjani hapo kwenye mchezo wa Ligi Kuu.


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments