MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA RUWAICHI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na Viongozi pamoja na Waumini wa Kanisa Katoliki katika Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Dar es salaam Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap inayofanyika Msimbazi Centre Jijini Dar es salaam tarehe 16 Mei 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki na Viongozi pamoja na Waumini wa Kanisa Katoliki katika Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Dar es salaam Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap inayofanyika Msimbazi Centre Jijini Dar es salaam tarehe 16 Mei 2024.

Misa ikiendelea


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakiwasili katika katika Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Dar es salaam Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap inayofanyika Msimbazi Centre Jijini Dar es salaam tarehe 16 Mei 2024.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments