Rais Na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Afunga Zoezi La Medani Katika Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya JWTZ) Pongwe Msungura, Msata Mkoani Pwani

 Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na vikundi mbalimbali vya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wakitoka kwenye zoezi la Medani lililofanyika Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambao walishiriki kwenye zoezi la Medani wakati wa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Pongwe Msungura, Msata Mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments