Kamanda Senga atunukiwa Shahada ya Uzamili katika Stadi za Amani na Usalama

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga ni miongoni mwa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Uhasibu Arusha (IAA) katika mahafali ya 26 ya chuo hicho yaliofanyika Disemba 13, 2024 katika Ukumbi wa Hotel ya Ngurdoto uliyopo Jijini Arusha.


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments