Picha: Matukio mbalimbali ziara ya Samia Muheza leo

RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, leo Februari 27, 2025 ameendelea na ziara yake mkoani Tanga kwa kutembelea Wilaya ya Muheza.

Rais Samia Suluhu Hassan akizindua usambazaji wa Nishati safi ya kupikia kwa Mkoa wa Tanga katika viwanja vya CCM Jitegemee.
Shamrashamra za wananchi wa Muheza ambao walihudhuria mkutano wa hadhara wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa CCM Jitegemee Muheza mkoani Tanga.
Shamrashamra za wananchi wa Muheza ambao walihudhuria mkutano wa hadhara wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa CCM Jitegemee Muheza mkoani Tanga.
Rais Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa CCM Jitegemee katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments