UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA WANAFUNZI WA KIKE KUPATA MIMBA.


                             

 Wananchi wa Kata ya Kalangali, Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida wameishukuru Serikali kwa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Kalangali unaoendelea ambao ukikamilika utasaidia kupunguza changamoto ya wanafunzi wa Kike kupata Mimba (Ujauzito) na wengine kukatisha masomo yao kutokana na changamoto wanayoipata ya kutembea zaidi ya kilomita 10 kufuata Shule.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments