MCHEZO WA SIMBA NA YANGA 'WAOTA MBAWA', KUPANGWA TENA HAPO BAADAYE.

 

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Simba umeahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania ili kutoa nafasi ya kupata taarifa zaidi zitakazosaidia kufanya maamuzi ya haki.

Aidha , Bodi itatoa taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo na kutangaza tarehe ya mchezo huo mapema iwezekanavyo.


 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments