Rais Samia akutana na kuzungumza na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA)



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa  Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na viongozi pamoja na wajumbe wa  Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments