RAIS Dk Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke kuchaguliwa katika Taifa hilo la Namibia (Picha na Ikulu)
0 Comments