Rais Dkt. Samia Atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma


 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa kwenye hafla ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wabunge mara baada ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na viongozi, wageni mbalimbali katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 31 Mei, 2025.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.
 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments