RAIS Dkt. SAMIA-KUANZA KWA MIZIGO SGR KUTAIMARISHA TZ KAMA LANGO LA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI

 RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuanza kwa usafirishaji mizigo katika reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) pamoja na mambo mengine, kutaimarisha nafasi ya Tanzania kama lango la biashara katika Jumuia ya Afrika Mashariki.


Rais Samia ametoa kauli hiyo Juni 27, 2025 alipokuwa anahitimisha shughuli za bunge Jijini Dodoma, akitoa mrejesho wa utekekezaji wa majukumu ya serikali na yale iliyoahidi kufanya hususani kwenye sekta ya uchukuzi.


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments