Rais Dkt. Samia Akutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika (AUEOM)

 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika (AUEOM) ulioongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana na Kiongozi wa Misheni hiyo, Mhe. Mokgweetsi Masisi, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.

. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika (AUEOM) ulioongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana na Kiongozi wa Misheni hiyo, Mhe. Mokgweetsi Masisi, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika (AUEOM) ulioongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana na Kiongozi wa Misheni hiyo, Mhe. Mokgweetsi Masisi, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2025.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments