Privacy Policy
About
Contact
HOME
AFYA
SIASA
HABARI
MICHEZO
MAKALA
BURUDANI
BIASHARA
TEKNOLOJIA
MAGAZETI LEO
Home
SIASA.
MBUNGE YANGI KIARATU ATIMIZA AHADI YA KAMPENI, ATOA LUNINGA NA KING’AMUZI KWA KIJIWE CHA KAHAWA SINGIDA MJINI
MBUNGE YANGI KIARATU ATIMIZA AHADI YA KAMPENI, ATOA LUNINGA NA KING’AMUZI KWA KIJIWE CHA KAHAWA SINGIDA MJINI
Bandolamedia
January 25, 2026
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mheshimiwa Yangi Kiaratu ametimiza ahadi yake aliyoitoa kwa wananchi wakati wa kampeni za uchaguzi kwa kukabidhi luninga (TV) ya nchi 55 pamoja na king’amuzi cha Azam, katika kijiwe cha kahawa kilichopo jirani na Jengo la Utamaduni, Manispaa ya Singida.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Mbunge Yangi amesema lengo la utoaji wa luninga hiyo ni kuendeleza mshikamano, burudani na kuwapa viongizi na wananchi kuwa na sehemu salama ya kukutana, hasa wale wanaoshiriki michezo mbalimbali kama bao, drafti na michezo mingine ya kijamii inayochezwa katika eneo hilo.
Aidha, Mbunge huyo amesema hatua hiyo ni sehemu ya kuthamini mchango mkubwa wa wananchi wa Singida Mjini waliompa ushirikiano mkubwa wakati wa uchaguzi uliopita, kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura, kudumisha amani na utulivu katika kipindi chote cha uchaguzi.
“Nimeona ni vyema kutimiza ahadi niliyotoa kwa wananchi wangu. Ushirikiano wenu, amani na utulivu mlioonyesha wakati wa uchaguzi ni jambo la kujivunia, na hii ni ishara ya shukrani yangu kwenu,” amesema Mbunge Yagi Yangi.
Mbali na kukabidhi luninga na king’amuzi, Mbunge Yangi Kiaratu amelipia kifulushi cha Azam kwa kipindi cha miezi miwili, hatua itakayowawezesha wananchi kufuatilia michezo, habari na vipindi mbalimbali vya kielimu na burudani.
Wananchi waliopokea msaada huo wamepongeza hatua ya Mbunge wao, wakisema ni kielelezo cha uongozi wa karibu, unaojali na unaotekeleza ahadi, huku wakiahidi kuendelea kudumisha amani, mshikamano na kumuunga mkono katika juhudi zake za kuleta maendeleo Singida Mjini.
Na hapa Mbunge aliwakabithi vingozi wa bodoboda na bajaji wa Singida pesa kwajili ya kulipia pango la ofisi zao ilikuendelea kufanya kazi zao za usafilishaji kwa utulivu.
Na nihizi ni picha mbali mbali katika Tukio Hilo
Na Abdul Bandola Singida.
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI
Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560
Post a Comment
0 Comments
TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2021, KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE
January 15, 2022
Shule na wanafunzi 10 bora Kitaifa Matokeo ya Upimaji Darasa la Nne,Twibhoki ya mkoani Mara yaziburuza shule zote 14,144
January 15, 2022
HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA ( PSLE 2023 )
November 23, 2023
TANZIA: ALLY MTONI "SONSO" AMEPOTEZA MAISHA
February 11, 2022
UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDINZI (CCM) MKOA WA KIGOMA KUKAGUA MIRADI MBALI MBALI YA SERIKALI
January 15, 2022
MANYARA YAONGOZA TAKWIMU ZA UANDIKISHAJI WATOTO SHULE ZA AWALI, KATAVI YABURUZA MKIA
January 06, 2022
Bi Martha Mlata Amtembela Mwenyekiti Wa Kwanza Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Wa Singida.
February 23, 2023
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI NOVEMBA 18,2021
November 17, 2021
RC. Singida aiomba Serikali kuweka kodi Mafuta ya kupikia kutoka nje ya...
March 02, 2023
WAZIRI MKUU AWASILI KATESH, ATOA POLE AENDA KUKAGUA ENEO LA TUKIO
December 04, 2023
Advertisement
BANDOLAMEDIA
Wasiliana Nasi
Name
Email
*
Message
*
TUFUATILIE MITANDAONI
2026
380
2025
1322
2024
1390
2023
1361
2022
1627
2021
946
Habari Zilizosomwa Zaidi
TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2021, KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE
January 15, 2022
Shule na wanafunzi 10 bora Kitaifa Matokeo ya Upimaji Darasa la Nne,Twibhoki ya mkoani Mara yaziburuza shule zote 14,144
January 15, 2022
HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA ( PSLE 2023 )
November 23, 2023
TANZIA: ALLY MTONI "SONSO" AMEPOTEZA MAISHA
February 11, 2022
AFYA
3/AFYA/post-list
0 Comments