Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, Martha Mosses Mlata, ameendelea kuthibitisha uwezo wake mkubwa wa kiuongozi na kisiasa baada ya kuendelea kupokelewa kwa hamasa kubwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama na Jumuiya zake ndani ya Mkoa wa Singida.

0 Comments