ISOME NA HII - #VIDEO: Mkuu wa Mkoa wa Singida apiga Marufuku
#SINGIDA: Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amewataka Maafisa Biashara kujiepusha na Vitendo vya Rushwa katika utoaji wa huduma za utoaji Leseni na Usajili wa wafanyabiashara ili kuweka mazingira mazuri ya Uwekezaji nchini.#BandolaMediaUpdates pic.twitter.com/QyEkskdkLd
— Bandola Media (@bandolamediatz) January 10, 2024
0 Comments