ligi ya Wanawake mkoa wa Singida Imepamba moto huku vipaji mbali mbali vikiendelea kuonekana katika Dimba la Liti (Namfua)
Ligi hiyo imeendelea wikiend hii kwa Kucheza mechi nne na haya ni matokea ya michezo yote ilioyo chezwa wikiend hii katika Dimba La Liti (Namfua ) mkoani Singida
MATOKEA TAREHE 13 FEBRUARY 2021
SINGIDA WARRIORS 7-0 KIMPUNGUA
MUNGUMAJI 2-0 MTAMAA
MATOKEA TAREHE 14 FEBRUARY 2021
SENGE 4-0 MITUNDURUNI
KINDAI 2-0 IPEMBE
Mwenyekiti wa cha cha mpira Mkoa wa Singida Bw. Hamisi Kitila ameendelea kuwaomba wadau mbali mbali kujikea viwanjani ilkuendelea kusapoti timu zanashiriki mashindano hayo
aidha BwKitila ushirikiano chama cha mpira na serikali ya mkoa wa Singida ni mkubwa sana na ndio ulisaidia kuendesha mashindano mbali mbali mkoa wa Singida.
0 Comments