Vijana wametakiwa kutumia muda vizuri katika majukumu yao ya kila siku kwani wao ndio nguzu na uti wa mgongo wa taifa na jamii kwa ujumla
Kauli hiyo imeelezwa na aliekuwa mgombea wa viti maalumu mkoa wa Singida kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Bi.Warda Nkhangaa wakati akizumza na bandolatz.com leo kwa njia ya simu
Aidha Bi.Warida amesema vijana tunapaswa kuchangamkia fulsa zilizopo ilikuendana na kasi ya serikali na kusaidia kukua kwa uchumii katika taifa na jamii zetu.
Pia Bi.Warda ameeleza kuwa tunapaswa kulinda na kufata misingi mizuri ya utawala bora iliyo achwa na viongozi mbali mbali walio tangulia mbele ya haki.
0 Comments