Recent-Post

Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Akihutubia Mkutano Wa Shina, Kitangali Newala


Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe.Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina na 3,Newala mkoani Mtwara ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ikiwa na lengo la kukagua,kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 - 2025. (Picha na Adam Mzee / CCM Makao Makuu).

Post a Comment

0 Comments