Kumbuka kutembelea mitandao yetu ya Kijamii bila kusaha kusikiliza vyomba mbali mbali vya radio katika vipindi vya michezo ilikupata ratiba ya kila siku ya mchezo;
Wadau mnaombwa kuzisaidia timu hizo ilikuwa na ligi yenyeushindani na mwisho tupate bingwa mwenye uwezo wa kuwa bingwa wa Kanda hatimaye tupate timu ya Ligi daraja la Pili Kutokea ligi ya Msimu wa 2021/2022.
Na bandolalamedia.co.tz
0 Comments