Recent-Post

SPIKA WA BUNGE AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WADI, JIMBO NA WILAYA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mlezi wa CCM Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (watatu kulia) akiweka jiwe la msingi katika Ofisi za CCM kibanda cha maji Mkoa ya Kaskazini Unguja leo Septemba 22, 2021, Unguja Mjini Zanzibar, Wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Idd Ali Ame na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Ayoub Mohamed Mahmud.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mlezi wa CCM Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wadi, Jimbo na Wilaya alipowatembelea leo Septemba 22, 2021 katika ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wadi, Jimbo na Wilaya Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (hayupo kwenye picha) alipowatembelea na kuzungumza nao leo Septemba 22, 2021 katika Ukumbi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments