SIMBA SC YANYAKUA TAJI LA MAPINDUZI CUP, YAILAZA AZAM FC 1-0

 


Klabu ya Simba wamefanikiwa kunyakua taji la Mapinduzi Cup mara baada ha kuwachapa Azam Fc kwenye mchezo ambao uliudhuliwa na Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi.

Bao pekee la Simba Sc liliwekwa kimyani na Meddie Kagere ambaye alipachika kwa mkwaju wa penati mara baada ya Sakho kuchezewa faulu ndani ya boksi.

Mchezo huo ambao ulikuwa na hisia kwa mashabiki uwanja wa Amani ulijawa na Mashabiki wengi ambao walioshuhudia mtanange huo.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments