MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA UN WA BAHARI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. Philip Mpango akishiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Umoja wa
Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake unaofanyika
Lisbon nchini Uren leo tarehe 27 Juni 2022.Lengo la Mkutano huo ni
kuhamasisha juhudi za Mataifa katika kufanikisha utekelezaji wa Lengo
la 14 la Maendeleo Endelevu.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Pili
wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake
unaofanyika Lisbon nchini Ureno leo tarehe 27 Juni 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na
Serikali kutoka mataifa mbalimbali duniani wakati wa Ufunguzi wa
Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na
Rasilimali zake unaofanyika Lisbon nchini Ureno leo tarehe 27 Juni
2022.

Post a Comment

0 Comments