MKUMBUSHE MWENZAKO KUWA LILE JAMBO NI SAA 10 KAMILI LEO JIONI

 WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano muhimu na maalum utakaofanyika leo Juni 30, 2022 (Alhamisi) kuanzia saa 10 kamili jioni hadi saa 12:30 jioni.


Mada:Tathmini ya Msimu wa Ligi ya NBC 2021/2022 na Maboresho katika Sekta ya Mpira wa Miguu chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.

Muda ukifika (Saa 10 kamili Jioni, Juni 30, 2022 - Alhamisi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3ylTpqU

Au kupitia
Meeting ID: 830 5188 1708
Passcode: 709019

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Uhondo TV, Bongo5, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Taifa ya Maendeleo ya Biashara Tanzania - NBC na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments