SINGIDA TANZANIA
Mwenyekiti wa Ccm Mkoa Wa Singida Ndg.Martha Mosses Mlata Akisaini Vitabu Katika Ofisi Za Ccm Mkoa Baada Ya Kuibuka Kidedea Katika UchaguziMkuu 2022-2027 Ambapo Mkuu Wa Idara Ya Organization Ccm HQ Ndg. Modeline Castico Alihudhuria Na Kumpongeza Mwenyekiti Kwa Ushindi Wa Kishindo.
Tazama Picha Mbali Mbali Za Matukio Wakati Mwenyeki Wa Ccm Mkoa Wa Singida Akisaini Kitabu Baada Ya Kuwasili Offisini Kwake
0 Comments