MAJALIWA AKAGUA KITUO KIKUU CHA MABASI SUMBAWANGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga, Jacob Mtalitinyi (kulia) wakati alipokagua Kituo Kikuu cha Mabasi cha Sumbawanga  akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa wa Rukwa, Disemba 16, 2022.  Katikati na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Sumbawanga wakiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Rukwa, Disemba 16, 2022. Kulia kake ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments