Recent-Post

RAIS SAMIA MGENI RASMI UFUNGAJI MATEMBEZI YA UVCCM MAADHIMISHO MIAKA 59 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) katika kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. 

Hafla hiyo itafanyika kesho Januari 10,2023 PAJE - KUSINI UNGUJA.


#CCMImetimia

#KaziIendelee

Post a Comment

0 Comments