Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Rwandan Patriotic Front (RPF – Inkotanyi) Ndugu Wellars Gasamagera (kushoto) leo tarehe 1, Julai 2023 katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mara baada ya mazungumzo hayo Katibu Mkuu huyo wa Chama cha RPF Inkotanyi pamoja na ujumbe wake watatembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR pamoja na Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha kwa mfipa.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongoza mazungumza baina yake na Katibu Mkuu wa Chama Cha Rwandan Patriotic Front (RPF – Inkotanyi) Ndugu Wellars Gasamagera (kulia) pamoja na ujumbe wake leo tarehe 1, Julai 2023 katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Ofisa Mshauri Ofisi ya Rais Rwanda Ndugu Ndahiro Alfred (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Rwandan Patriotic Front (RPF – Inkotanyi) Ndugu Wellars Gasamagera leo tarehe 1, Julai 2023 katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Kada wa RPF-Inkotanyi Ndugu Tom Ndahiro mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Rwandan Patriotic Front (RPF – Inkotanyi) Ndugu Wellars Gasamagera leo tarehe 1, Julai 2023 katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI
Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516
0 Comments