#VIDEO: Mkuu wa Mkoa Singida awataka Maafisa Biashara Kujiepusha na Vitendo vya Rushwa

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amewataka Maafisa Biashara kujiepusha na Vitendo vya Rushwa katika utoaji wa huduma za utoaji Leseni na Usajili wa wafanyabiashara ili kuweka mazingira mazuri ya Uwekezaji nchini.

ISOME NA HII - #VIDEO: Mkuu wa Mkoa wa Singida apiga Marufuku

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments