Mwenyekiti wa Umoja Wa Vijana Mkoani Singida (UVVCCM) Dr.Denis Nyeraha amewataka vijana kuendelea kuwa na Umoja na kuchangamkia fulsa kwa kufanya kazi kwa bidii na kujali masilahi ya jamii na taifa kwa ujumla.
Dr.Denis Nyeraha amesama haya wakati akiongea na Bandolatz.com $Bandola tv leo Mkoani Singda wakati Umoja wa Vijana mkoani Humo wakiendelea kufanya shughuli mbali mbali za kijamii wakati wa kuadhimisha miaka 44 ya chama cha mapinduzi (CCM)
Aidha Dr.Nyeraha ameseama kuwa kurinda na kutunza amani kwa njia yoyote ni jukumu la vijana kwani vijana ndio uti wa mgogo wa jamii na taifa kwa ujumla
0 Comments