Recent-Post

MCHIMBA MADINI ALIMUONA MBALI KENNEDY JUMA WA SIMBA

Kenedy Juma wakati anasajilia Simba akitokea Singida United Hakuwa kipenzi Cha mashabiki wengi wa Simba na baathi yao walibeza Sana.

Manara akawaambia ipo siku watajua kwa nn alimpa Jina la Buldoza Now Hakuna mwenye shaka nae kwa Kazi anayopiga pale Simba.

Hongera Sana Kenedy Juma ,Haikuwa raisi safari ya kutoka Sengerema mpaka Singida kwajili ya kucheza ligi daraja la tatu kwenye Timu ya Mchimba madini iliokuwa Inaitwa ,Greenlef fc .

Bw. Mwandami akiwa kwenye maadalizi ya daraja la 3 akapata bahati ya kuuziwa Singida United ilipanda daraja la pili ikitokea kwenye ligi ya mabigwa wa Mikoa kitoa Cha shinyanga baada ya kurejeshwa kwa ligi daraja la pili ,Ambapo mbao fc ,Mvuvumwa fc ,Singida United na zingine zilifanikiwa kucheza daraja la pili.

Safari ilianzia hapo hatimae daraja la kwanza na kufanikiwa kupanda ligi kuu akiwa Kapteni wa Singida United,na alifanya Kazi Kubwa ya kutetea na kulinda heshima ya walima alizeti kwa asilimia 💯 na Sasa anaendeleza Kazi hiyo pale msimbazi.(MAPAMBANO YANAENDELEA)

Post a Comment

0 Comments