Ni ufunguzi wa Pazia la Ligi Daraja la tatu mkoa wa Singida msimu wa 2021/2022 katika dimba la Liti mkoani Singida.
Kwa taratibu za shirikisho la mpira wa Miguu Nchini Tanzania ufunguzi wa Ligi tukimanisha kuanza kwa msimu mpya tunakuwa na Mechi ambayo inaitwa Ngao ya Jamii.
Ngao ya Jmii itawakutanisha mabingwa wa ,Kombe la Shilikisho kwa mkoa husika na bingwa wa ligi ya daraja la tatu.
Kwa mkoa wa Singida mabigwa wa msimu wa 2020/2021 katika kombo la shirikisho mkoani singida alikuwa ni Magic Pressure Fc,na kwa upande wa bingwa wa Ligi daraja la tatu alikuwa MAanyoni Sc.
0 Comments