Nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Abdul Van Mohamed ambaye aliteuliwa na Dk Mwinyi Julai mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Alhamisi Desemba 30, 2021 na kusainiwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Said imesema uteuzi huo unaanza leo.
Pia taarifa hiyo imesema Dk Hussein amemteua Yussuf Majid Nassor kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS.
“Dk Idrissa Muslim Hija ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa bodi ya uhaulishaji ardhi Zanzibar.
0 Comments