RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA IKULU CHAMWINO DODOMA

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo tarehe 11 Machi 2022 Ikulu Chamwino Dodoma.

Post a Comment

0 Comments