Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Halima Mdee imeanza ziara yake ya ukaguzi wa mira…
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kupitia Maafisa Ujirani Mwema imetoa elimu kuhusu umuhimu wa shughuli za uhifadhi kwa vijij…
Hospitali ya Taifa Muhimbii (MNH) imesema inatarajia kuanzisha huduma jumuishi za waraibu wa dawa za kulevya katika kijiji cha marekebisho ya afya ya…
Zahanati ya Kikatiti iliyopo Kata ya Kikatiti ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,M…
Hatua mpya yafikiwa katika ubia kati ya Marekani na Tanzania katika sekta ya afya wakati Programu ya Dola Milioni 250 ya “Afya Yangu” ikizinduliwa …
Serikali ya Afrika Kusini jana Alkhamisi iliondoa ulazima wa watoto kuvaa barakoa wanapokuwa mashuleni licha ya kuweko taarifa kuwa maambukizo ya ugo…
Zaidi ya watoto 600,000 mkoani Tabora wanatarajia kupatiwa chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 katika kampeni ya kitaifa inayotara…
Akizungumza katika mahojiano maalumu aliyofanyiwa na gazeti la kila siku la Daily Monitor la nchi hiyo, msemaji wa Wizara ya Afya ya Uganda, Emmanuel…
Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya milioni 500 katika nchi 19 za bara Afrika wanasumbuliwa na ukosefu wa maji safi na salama. Utafiti uliofanywa …
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (katikati) akikata utepe wakati Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Barrick Gold Corporation kupitia Migodi…
TUFUATILIE MITANDAONI